Friday, 19 October 2012

Kuhusu Rare Gem:



Rare Gem hutoa huduma za matibabu nje ya nchi kwa bei nafuu; inaratibiwa na shirika la uzoefu na ujuzi kwa mahusiano imara na wataalamu katika vituo vya matibabu vinavyoheshimika sana duniani.

Kama unatafuta matibabu ya bei nafuu, matibabu bora ya magonjwa au upasuaji nchini India, Uingereza, Dubai, Ujerumani au Marekani, matibabu yako mwenyewe au jamaa yako, tafadhali tupigie simu kwa nambari +44-207-873- 2454 leo, na sisi tutafuatilia mengine yote. Tuna makao yetu makuu nchini Uingereza.

Rare Gem Medical Services ni timu ya washauri kwenye sekta ya huduma, tuna rekodi ya kuthibitika kwa kutoa msaada wa kitaalamu kwa wateja walioridhika. Wafanyakazi wa Rare Gem Medical Services wana zaidi ya miaka 40 ya uzoefu wa kazi na huduma, pamoja na maarifa makubwa ya fani za matibabu na usafiri. Taratibu zetu zote zafanywa na wapasuaji waliohitimu na washauri katika baadhi ya vituo vya afya vilivyo tajika duniani.


Matibabu ya hali ya juu kwa bei nafuu
·         Una uhakika wa siri ya faragha yako
·         Matibabu ya kibinafsi hospitalini
·         Tutakupa laini ya simu ya kuwasiliana na marafiki na familia nyumbani
·         Utaokoa pesa za matibabu
·         Huduma za hali ya juu katika hospitali za kiwango cha juu dunia nchini Uingereza, Dubai, Ujerumani, India na  Marekani
·         matibabu na maoni ya utaalam  
·         Kipaumbele kwa ratiba na uteuzi wa hospitali
·         Tutakusaidia  kupanga safari yako na kuomba visa
·         Tunawezesha uchukuzi kutoka kwenye uwanja wa ndege na kuridushwa uwanjani baada ya matibabu, pia tutahakikisha kiingilio laini hospitalini unakolazwa
·         Tutakupa wasaidizi wa kimatibabu unaporudi nyumbani  watakapohitajika


Hizi ni pamoja na:
·         Huduma za mkalimani
·         Huduma za visa
·         Upishi kwa vyakula maalum
·         Ushauri wa malazi kwa ajili ya jamaa yako
·         Tutakusaidia kupata vyumba kwa bei nafuu katika hoteli
·         Rufaa kwa wataalamu waliohitimu
·         Idara yetu ya huduma ya wateja itakusaidia na mahitaji yoyote maalum na maombi mengine ya huduma kutoka kwa Rare Gem
·         Huduma za gari na dereva binafsi
·         Uchukuzi na kurudishwa kwenye uwanja wa ndege
·         Huduma za masaidizi wa kimatibabu unaporudi nyumbani  watakapohitajika
·         Huduma za paada ya upasuaji
·         Huduma za usalama
·         Huduma za mtumishi wa nyumbani

No comments:

Post a Comment